Results for mijadala translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

mijadala

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

inaonekana kuwa rais ametimiza ahadi hiyo, na sasa mapendekezo mapya yanachochea mijadala ya kuvutia.

German

der präsident scheint dieses versprechen gehalten zu haben und neue vorschläge führen nun zu interessanten debatten.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchi ilikuwa changa, watu wakiwa na uelewa wa mtandao wa intaneti na ilikuwa ya kwanza kufanya mijadala ya kisiasa mtandaoni.

German

das land war jung, netzaffin und schon früh innovativ im politischen dialog über das internet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ungeifanya sayansi kuwa suala linaloibua mijadala mikali katika vyombo vya habari, kwa kiwango kiwango kile kile kinacholingana na mijadala ya vita na misuguano ya kisiasa

German

man würde es zu einem thema machen, das debatten in den medien hervorruft, die genauso viel zeit in anspruch nehmen wie die kriege, die wir führen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wanakusanya vijibendera kwa ajili ya magari na viambaza vyao, inaweza kuonekana kama vile ni ujinga lakini ni jambo poa kwani litawafanya watu wepukane na mijadala ya siasa.

German

die leute holen sich diese mini-flaggen für ihre autos und die balkone; das ist vielleicht albern aber trotzdem cool, solange es die menschen etwas von den politischen diskussionen ablenkt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu maarufu ya nawaat iliyoshinda tuzo na inayofanya kazi kwa ushirikiano na blogu nyingine imezindua jukwaa lake la mijadala ya kisiasa litakalotumika kuibua masuala nyeti: nawaat leaks.

German

logo von nawaat leaks der preisgekrönte tunesische gemeinschaftsblog nawaat hat seine eigene enthüllungsplattform an den start gebracht: nawaat leaks .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hebu tujadili kanuni hizi - kubali ama pingana nazo, zijadili, zitafsiri, zifanye kuwa zako na panua mijadala katika jamii yako - kwani mtandao ndio utawezesha hayo.

German

lasst uns diese prinzipien diskutieren - stimmt mit ihnen überein oder lehnt sie ab, diskutiert sie, übersetzt sie, macht sie euch zu eigen, weitet die debatten mit eurer gemeinde aus - so wie das internet es ermöglichen kann.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa haraka, wimbo huu umeshajikita katika utamaduni uliozoeleka kiasi cha kuzua majibizano na mijadala kadhaa.... suala la tabaka la wafanyakazi dhidi ya lile la watu matajiri, pamoja na kuwa halijazungumzwa sana katika wimbo huu, ni miongoni mwa mijadala inayoendelea kwa kiasi kikubwa.

German

das lied ist schnell in die populärkultur eingegangen und hat zahlreiche gespräche und diskussionen angeregt... das thema der arbeiterviertel versus der wohlhabenden stadtviertel, wenn auch in dem lied nicht direkt angesprochen, ist sehr präsent.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,605,289 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK