検索ワード: spokesman (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

spokesman

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

the same post included a comment by kofi adams, spokesman for the former president:

スワヒリ語

makala hiyo hiyo ilijumuisha maoni ya kofi adams, msemaji wa rais msaafu:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a government spokesman said on wednesday that the admission point requirements would be published before christmas .

スワヒリ語

siku ya jumatano, msemaji wa serikali alisema kuwa, vigezo vya alama wakati wa udahili vingetangazwa kabla ya sikuu ya noeli .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a muslim brotherhood spokesman has said 2,000 people were killed in the “massacre.”

スワヒリ語

msemaji wa chama cha udugu wa ki-islamu amesema watu 2,000 waliuawa katika "mauaji hayo ya halaiki".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

a parody twitter account that mocks putin’s spokesman, dmitry peskov, soon tweeted:

スワヒリ語

akaunti ya twita inayomkejeli msemaji wa putin, dmitry peskov, haikuchelewa kutwiti:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the spokesman of foreign ministry said the accusation is groundless and warned that the intervention might damage the bilateral relations between the two countries.

スワヒリ語

msemaji wa wizara ya mambo ya nje alisema kuwa shutuma hizo hazina msingi na kuonya kuwa kuingiliwa kunaweza kuharibu mahusiano baina ya nchi hizo mbili.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a spokesman of the committee, lieutenant kanoré stated that although they have dissolved the current institutions, they have no intention of holding on to power.

スワヒリ語

msemaji wa kamati hiyo, lieutenant kanoré alisema kwamba ingawa wamesimamisha katiba na kuvunja taasisi zilizopo, hawana kusudio la kung’ang’ania madaraka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

anc spokesman jackson mthembu told sapa by phone on thursday morning that he will defend malema and that the song should be seen in context (read full article).

スワヒリ語

msemaji wa anc jackson mthembu aliiambia sapa kwa simu alhamisi asubuhi kuwa atamtetea malema na kwamba wimbo huo angaliwe katika mazingira ulipoimbwa (soma makala nzima).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

throughout the first week of the strike, as the spokesman of the ministry of health said that all health units had returned to normality, citizen and independent reporters stated that there were many restrictions in some of the major medical units.

スワヒリ語

katika wiki ya kwanza ya mgomo, wakati msemaji wa wizara ya afya akisema kuwa vitengo vyote afya vilirejea hali ya kawaida, waandishi wa habari za kiraia na wale wa kujitegemea walisema kuwa kulikuwa vikwazo vingi katika baadhi ya vitengo vikubwa vya matibabu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the siege just before 5 am, pakistan time, the military's chief spokesman tweeted that the last of the attackers had been killed. the spokesman was giving live updates of the military operation at the airport throughout the night.

スワヒリ語

mtumiaji huyu wa twita - syed saim rizvi - alikuwa kwenye ndege ya emirates iliyokuwa uwanjani humo wakati wa mapambano hayo:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

abhisit could be charged in the courts, as argued by pheu thai party spokesman prompong nopparit, urging the national anti-corruption commission (nacc) to investigate the case.

スワヒリ語

kwa maana hiyo, abhisit anaweza kupelekwa mahakamani kujibu mashitaka ya kuvunja sheria hiyo, ndivyo alivyojenga hoja msemaji wa chama cha pheu thai, prompong nopparit, ambapo aliihimiza tume ya kudhibiti rushwa ya taifa (nacc) kuanzisha uchunguzi wa kesi hiyo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,760,925,106 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK