Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kwa wakati mwingine utakuta kuwa tembe hizo, hata kama hazina viungo vinavyofanya kazi, huwa ni makosa ambayo hayakutarajiwa katika kampuni.
“if you just have the tablets or the capsules, even if they have no active ingredient, it still could have been an innocent mistake in the factory.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wameshinda idadi kubwa ya vikombe, wanajivunia idadi ya mashabiki wengi, na kwenye vikosi vyao utakuta wachezaji bora wenye vipaji wanavyowakilisha taifa.
they have won the the greatest number of titles, boast the biggest fan bases, and in their squads you will find the best collection of talent in the nation.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
… ukizungumza na wapenzi wa vitabu katika karibea na nje ya karibea, au ukiduru kwenye kurasa mbalimbali za mitandaoni ambamo mijadala ni fasihi ya karibea, utakuta watu wakilalama jinsi ilivyo vigumu kupata vitabu vizuri vilivyoandikwa na wakaribea, yaani iwe katika eneo hili lenyewe au hata katika masoko ya majiji ya nchi zilizoendelea. … ipo haja ya mabadiliko - mabadiliko makubwa.
... if you speak to many booklovers in and outside of the caribbean, or check out some online message boards where the topic of discussion is caribbean literature, you’ll find people bewailing how difficult it is to find good books by caribbean writers, whether it’s in the region itself or in the metropolitan markets. ... there’s need for change — massive change.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: