您搜索了: wapenzi (斯瓦希里语 - 拉丁语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Latin

信息

Swahili

wapenzi

Latin

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

拉丁语

信息

斯瓦希里语

ndugu zangu wapenzi, msidanganyike!

拉丁语

nolite itaque errare fratres mei dilectissim

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.

拉丁语

propter quod carissimi mihi fugite ab idolorum cultur

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo, mwigeni mungu, maana ninyi ni watoto wake wapenzi.

拉丁语

estote ergo imitatores dei sicut filii carissim

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wapenzi wangu, ikiwa mungu alitupenda hivyo, basi, nasi tunapaswa kupendana.

拉丁语

carissimi si sic deus dilexit nos et nos debemus alterutrum diliger

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wapenzi wangu, msishangae kuhusu majaribio makali mnayopata kana kwamba mnapatwa na kitu kisicho cha kawaida.

拉丁语

carissimi nolite peregrinari in fervore qui ad temptationem vobis fit quasi novi aliquid vobis continga

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivyo, tumeamua kwa pamoja kuwachagua watu kadhaa na kuwatuma kwenu pamoja na wapenzi wetu barnaba na paulo,

拉丁语

placuit nobis collectis in unum eligere viros et mittere ad vos cum carissimis nostris barnaba et paul

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wapenzi wangu, kama dhamiri yetu haina lawama juu yetu, basi, twaweza kuwa na uthabiti mbele ya mungu,

拉丁语

carissimi si cor non reprehenderit nos fiduciam habemus ad deu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini ninyi, wapenzi wangu, endeleeni kujijenga kikamilifu katika imani yenu takatifu. salini kwa nguvu ya roho mtakatifu,

拉丁语

vos autem carissimi superaedificantes vosmet ipsos sanctissimae vestrae fidei in spiritu sancto orante

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wapenzi wangu, hii ni barua ya pili ninayowaandikia. katika barua hizo mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni mambo haya.

拉丁语

hanc ecce vobis carissimi secundam scribo epistulam in quibus excito vestram in commonitione sinceram mente

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tuliwapenda ninyi sana hata tukawa tayari kuwashirikisha si tu habari njema ya mungu, bali pia na maisha yetu. ndivyo mlivyokuwa wapenzi wetu!

拉丁语

ita desiderantes vos cupide volebamus tradere vobis non solum evangelium dei sed etiam animas nostras quoniam carissimi nobis facti esti

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wapenzi wangu, tupendane, maana upendo hutoka kwa mungu. kila mtu aliye na upendo ni mtoto wa mungu, na anamjua mungu.

拉丁语

carissimi diligamus invicem quoniam caritas ex deo est et omnis qui diligit ex deo natus est et cognoscit deu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ndugu zangu wapenzi, sikilizeni! mungu amechagua watu ambao ni maskini katika ulimwengu huu ili wapate kuwa matajiri katika imani na kupokea utawala aliowaahidia wale wanaompenda.

拉丁语

audite fratres mei dilectissimi nonne deus elegit pauperes in hoc mundo divites in fide et heredes regni quod repromisit deus diligentibus s

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, ndugu zangu wapenzi, simameni imara na thabiti. endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya bwana, mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa bwana haitapotea bure.

拉丁语

itaque fratres mei dilecti stabiles estote et inmobiles abundantes in opere domini semper scientes quod labor vester non est inanis in domin

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini, wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! mbele ya bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.

拉丁语

unum vero hoc non lateat vos carissimi quia unus dies apud dominum sicut mille anni et mille anni sicut dies unu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wapenzi wangu, msilipize kisasi, bali mwachieni mungu jambo hilo; maana maandiko matakatifu yasema: "kulipiza kisasi ni shauri langu; mimi nitalipiza asema bwana."

拉丁语

non vosmet ipsos defendentes carissimi sed date locum irae scriptum est enim mihi vindictam ego retribuam dicit dominu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,765,231,794 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認