From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
learn more about the event, and register here to be part of our exciting 10th anniversary summit.
jifunze zaidi kuhusiana na tukio hili, na jiandikishe hapa ili kuwa sehemu ya mkutano huu wa kuadhimisha miaka kumi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
while we continue to work and speak as individuals, we also seek to identify and promote our shared interests and goals.
huku tukiendelea kufanya kazi na kuongea kama watu binafsi, pia tunataka kutambua na kukuza malengo na maslahi tunayoshirikiana pamoja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
trading places expresses it thus: through twitter, eldeethedon, one of several musicians, urged people to “be the change” and register select vote protect.
kupitia twita, eldeethedon, mmoja wa wanamuziki kadhaa, amewasihi watu “kuwa mabadiliko” na kujiandikisha kuchagua, kupiga na kulinda kura.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
despite the active crackdown of ivory smugglers by the hong kong customs and excise department in the implementation of the convention on international trade in endangered species of wild fauna and flora (cites), it has been difficult for the authorities to identify and prosecute the smugglers.
pamoja na hatua kali dhidi ya wahalifu wa pembe za ndovu zinazochukuliwa na idara ya uhamiaji ya hong kong na idara ya forodha katika kutekeleza tamko la biashara ya kimataifa la viumbe waliohatarini kutoweka (cites), imekuwa vigumu kwa mamlaka kuwatambua na kuwashitaki waingizaji wa bidhaa hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
to change this, samir, author of the blog startup brics that specializes in start-ups in the emerging countries, organized a field mission called the techafrique project to identify and list technology initiatives, start-ups, fablabs projects, and other co-working places of tech creativity in francophone africa and kenya.
kubadili hali hii, samiri, mwandishi wa blogu ya startup brics ilijikita kwenye miradi mipya katika nchi zinazoendelea, aliandaa safari za kiuchunguzi zilizoitwa mradi wa techafrique ili kugundua na kuorodhesha miradi iliyopo na ile mipa, miradi ya fablabs, na kwenye maeneo mengine yanayofanana na hayo katika ubunifu wa kiteknolojia katika nchi zizungumzao kifaransa pamoja na kenya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.