Results for wachimbaji translation from Swahili to Bulgarian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Bulgarian

Info

Swahili

wachimbaji

Bulgarian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Bulgarian

Info

Swahili

hispania: maandamano ya wachimbaji madini yaungwa mkono na wananchi

Bulgarian

Подкрепа за испанските миньори: "Да, те ни представляват!"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maandamano haya ya kihistoria ya wachimbaji wa madini yalianza tena asubuhi ya jumatano ya tarehe 11, julai.

Bulgarian

Историческият миньорски протест започна отново в 11ч. на следващия ден (миналата сряда).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wachimbaji hao wa makaa ya mawe wanaandamana kupinga mpango wa serikali ya mariano rajoy wa kubana matumizi pamoja na hatua ya serikali hiyo kusitisha ruzuku inayotakiwa kulipwa kwa makampuni ya uchimbaji wa makaa ya mawe ili kupunguza gharama za bidhaa hiyo kwa walaji.

Bulgarian

Миньорите протестират срещу икономическите мерки и наложените от правителството на Мариано Рахой съкращения.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kupitia mitandao ya kijamii, watu wengi waliwahamasisha wachimbaji madini kuendelea kupinga hatua ya serikali kusitisha utoaji wa ruzuku kwa makampuni ya kuchimba madini, hatua mbayo ingeweza kusababisha kufa kwa sekta ya madini nchini humo.

Bulgarian

Много хора в социалните мрежи също насърчиха миньорите да продължат борбата срещу бюджетните съкращения, които могат да доведат до изчезването на техния сектор.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuwa yalikuwa ni maandamano yenye nia ya kuiasi serikali, zaidi kuliko maandamano mengine yaliyokwisha itishwa nchini hispania, juhudi za wachimbaji wa madini hawa zimekuwa ni kiini cha harakati za maandamano ya wafanyakazi na yamekuwa ni hatua kali zaidi za kuipinga serikali kwa hatua zake za kutokutoa ruzuku kwa makampuni ya wachimba madini.

Bulgarian

Тъй като това е силно непокорен протест, повече в сравнение с други протести в Испания, борбата на миньорите се превърна в сърцето на протестното движение на работниците и в най-радикалната демонстрация на отхвърляне на резките мерки на правителството.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wachimbaji hao walipatwa na mshangao kwa jinsi watu walivyojikusanya, jambo ambalo liliongeza chachu ya kile kinachojulikana katika mitandao ya kijamii kama #nocheminera (usiku wa uchimbaji madini).

Bulgarian

Миньорите показаха тяхната изненада от мащаба на мобилизацията, която се добавя към интензивността на това, което е известно в социалните мрежи като #nocheminera ("миньорска нощ").

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

miongoni mwa misemo maarufu ilikuwa, “ndio tunaweza!”, “ndio, ndio, (wachimbaji hawa) wanatuwakilisha!” na “huu ndio mfumo wetu” wakirejelea ushindi wa hivi karibuni wa nchi ya hispania katika kinyang’anyiro cha michuano ya mpira wa miguu barani ulaya ambapo nchi hii ilikuwa bingwa.

Bulgarian

Сред най-често скандираните лозунги бяха "Да, ние можем!", "Да, да, те ни представляват!" и "Това е нашия отбор!", препратка към скорошната победа на Испания на Европейското първенство по футбол.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,763,065,712 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK