Results for kama wiki mbili zilizopita translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kama wiki mbili zilizopita

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wiki mbili zilizopita alipigwa risasi.

English

2 weeks ago he was shot at..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

joto mwilini lilianza siku mbili zilizopita

English

the fever started two days ago

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nimekuwa na joto jingi mwilini kwa siku mbili zilizopita

English

the fever i've had for the last two days

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wiki mbili zilizopita, isis walimuua mwanahabari mwislam wa syria, bassam raies.

English

2 weeks ago isis executed syrian muslim journalist bassam raies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku mbili zilizopita zimekuwa na utajiri wa misuguano na mivutano nchini côte d'ivoire.

English

the last two days have been rich in twists and turns in côte d'ivoire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wasichana 234 wenye umri kati ya miaka 16-18 walitekwa nyara takribani wiki mbili zilizopita nchini naijeria: #bringourgirlsback.

English

234 girls between the ages of 16-18 yrs were abducted almost 2 weeks ago in nigeria: #bringourgirlsback.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ilianza kama wiki moja iliyopita katikati ya mji.

English

it all started about a week ago in the city centre.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@7azem122: uchochezi dhidi ya watu wa imani ya shia ulianza wiki mbili zilizopita katika misikiti yote na siku ya leo wamekamilisha mpango wao.

English

@7azem122: instigating against the shia started two weeks ago in all the mosques and today they executed their plan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wagonjwa mara nyingi wana historia ya kusafiri au kuishi mjini wuhani au maeneo mengine yaliyoathirika au kugusana na watu au wagonjwa walioathirika katika wiki mbili zilizopita kabla ya kuanza.

English

patients often have a history of travel or residence in wuhan or other affected areas or contact with infected individuals or patients in the recent two weeks before the onset.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mmisri @ternz, anayekubali kuwa ndio kwanza kaanza kuchora katuni wiki mbili zilizopita, amekuja na suluhisho: mashine ya kisasa ya kunyongea.

English

and egyptian @ternz, who admits to starting to draw cartoons only two weeks ago, has come up with a solution: a state-of-the-art execution machine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo 29 machi iliripotiwa kuwa kuanzia 1 aprili wageni wote wa kimataifa wanaoingia watawekwa karantini kwa wiki mbili.

English

on 29 march it was reported that beginning 1 april all new overseas arrivals will be quarantined for two weeks.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

serikali imeagiza likizo ya wiki mbili, na kuruhusu shule kubadilisha jinsi ya kufunza hadi kufunza mtandaoni haraka iwezekanavyo.

English

the government has imposed a two-week holiday, allowing schools to transition to forms of distant teaching as soon as possible.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bw mwangosi anakuwa mtu wa pili kuuawa katika migogoro inayolihusisha jeshi la polisi na chama cha upinzani katika kipindi kisichozidi wiki mbili.

English

mr mwangosi becomes the second person to be killed in conflicts pitting the police force and the opposition party in the space of two weeks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangazo muhimu kwa watu serious...kuanzia leo nitakuwa natoa mechi ambazo ni uhakika kushinda na hii ni ofa kwa muda wa wiki mbili tu.karibuni

English

important announcement for serious people

Last Update: 2022-12-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ugonjwa usio kali kwa kawaida hupona ndani ya wiki mbili, ambapo watu wenye ugonjwa kali au wa hali mahututi wanaweza kuchukua muda wa wiki tatu au sita kupona.

English

mild cases typically recover within two weeks, while those with severe or critical diseases may take three to six weeks to recover.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa mara ya kwanza nilijaribu kulipuliza vuvuzela wiki mbili zilozopita, mwanzoni mwa kombe la mabara ambalo lilifanyika afrika kusini kabla ya kombe la dunia la mwaka ujao.

English

i first tried to blow a vuvuzela two weeks ago, at the start of the confederations cup which has been held in south africa ahead of next year’s world cup.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwenye mashamba makubwa, magari huwachukua watoto kutoka majumbani kwao na kuwapeleka kujenga mahema karibu na maeneo ya miji na kasha huishi humo wakifanya kazi kwa vipindi vya kati ya wiki mbili hadi mwezi mmoja na bila ya kuwa na wazazi wao.

English

in plantations, trucks pick children up from their homes and bring them to makeshift tents located in nearby provinces to stay and work for periods lasting from two weeks to a month without their parents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, imeripotiwa kwamba watu wanaweza kubeba virusi hivi bila dalili kwa muda zaidi ya wiki mbili na wagonjwa waliopona walioruhusiwa kurudi nyumbani wanaweza kubeba virusi hivi tena, jambo linalotoa tahadhari la kuongezwa kwa muda wa karantini.

English

however, it has been reported that people can carry the virus without symptoms longer than two weeks and cured patients discharged from hospitals can carry the virus again, which sends out an alarm to increase the time for quarantine.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati kuna shuleni kesho watalii ni kuja mara ya mwisho walikwenda mimi nilikuwa juu ya kumi na kidogo kabisa i kelele kwa wiki mbili zijazo wao inaonekana katika sisi kama sisi ni wanyama wao kuja wao kuchukua (photos) wao kuondoka rahisi kama kwamba kwa kawaida wao hawana hata bye kitu chochote.

English

while there at school tomorrow the tourists are coming last time they came i was about ten and quite little i cried for the next two weeks they looked at us like we are animals they come they take(photos) they leave as simple as that normally they don't even bye anything.

Last Update: 2014-11-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

korea kusini ilishutumu juhudi za japan "zisizoeleweka vizuri na kutoshughulika za karantini" baada ya japan kutangaza kila mtu anayetoka korea kusini atawekwa katika karantini kwa muda wa wiki mbili katika vituo vya serikali.

English

south korea criticized japan's "ambiguous and passive quarantine efforts" after japan announced anybody coming from south korea will be placed in two weeks' quarantine at government-designated sites.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,774,102,238 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK