Results for mabaya translation from Swahili to Hebrew

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

mabaya

Hebrew

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.

Hebrew

עתה תתגאו בפחזותכם וכל גאוה אשר כזאת רעה היא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mti mwema huzaa matunda mema, na mti mbaya huzaa matunda mabaya.

Hebrew

כן כל עץ טוב עשה פרי טוב והמשחת עשה פרי רע׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mema.

Hebrew

עץ טוב לא יוכל עשות פרי רע ועץ משחת לא יעשה פרי טוב׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale walio wa kristo wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake.

Hebrew

ואשר הם למשיח צלבו את בשרם עם כל תשוקתיו ותאותיו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini chakula kigumu ni kwa ajili ya watu waliokomaa, ambao wanaweza kubainisha mema na mabaya.

Hebrew

אך לשלמים המאכל הבריא אשר על פי ההרגל יש להם חושים מנסים להבדיל בין טוב לרע׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakamtukana mungu wa mbinguni kwa sababu ya maumivu yao na madonda yao. lakini hawakuyaacha matendo yao mabaya.

Hebrew

ויגדפו את אלהי השמים ממכאבם ושחינם ולא שבו ממעשיהם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana kutoka ndani, katika moyo wa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,

Hebrew

-12[ כי מתוך לב האדם יצאות המחשבות הרעות נאף וזנה ורצוח וגנוב ואהבת בצע ורשעה ורמיה וזוללות וצרות עין וגדוף וזדון וסכלות׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini anayesema mabaya dhidi ya roho mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele."

Hebrew

אך המגדף את רוח הקדש אין לו סליחה לעולם כי יאשם בעונו לנצח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,

Hebrew

לא תעשה דבר תפלה ולא תבקש את אשר לה ולא תתמרמר ולא תחשב הרעה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana sote ni lazima tusimame mbele ya kiti cha hukumu cha kristo, ili kila mmoja apokee anayostahili kwa matendo aliyoyafanya wakati alipokuwa anaishi duniani, mema au mabaya.

Hebrew

כי כלנו עתידים להראות לפני כסא דין המשיח למען יקבל איש ואיש כפי פעלו בחיי גופו אם טוב ואם רע׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpenzi wangu, usifuate mfano mbaya, bali mfano mwema. kila atendaye mema ni wa mungu; lakini anayetenda mabaya hajapata kumwona mungu.

Hebrew

חביבי אל תרדף הרעה כי אם הטוב העשה טוב הוא מאלהים והעשה רע לא ראה את האלהים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa beelzebuli, je hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?

Hebrew

דיו לתלמיד להיות כרבו ולעבד להיות כאדניו אם לבעל הבית קראו בעל זבוב אף לאנשי ביתו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sikiliza! sasa namtupa kitandani ambapo yeye pamoja na wote waliofanya uzinzi naye watapatwa na mateso makali. naam, nitafanya hivyo, kama wasipotubu matendo yao mabaya waliyotenda naye.

Hebrew

הנני מפיל אתה על מטה ואת המנאפים אתה בצרה גדולה אם לא ישובו ממעשיהם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kusingiziana; ni watu wa kuchukiza kwa mungu, wafidhuli, wenye kiburi na majivuno; hodari sana katika kutenda mabaya, na hawawatii wazazi wao;

Hebrew

הלכי רכיל ומלשינים שנאי אלהים וגאים וזדים והוללים וחשבי און ואינם שמעים בקול אבותם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana yeye ni mtumishi wa mungu anayefanya kazi kwa faida yako. lakini ukifanya mabaya, basi, huna budi kumwogopa, maana anao kweli uwezo wa kutoa adhabu. yeye ni mtumishi wa mungu na huitekeleza ghadhabu ya mungu kwao watendao maovu.

Hebrew

כי משמשת אלהים היא לטוב לך אך אם הרע תעשה ירא כי לא לחנם חגרת חרב היא כי משמשת אלהים היא נקמת בקצף מכל עשה הרע׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, nitakapokuja nitayafichua mambo yote anayofanya, maneno mabaya anayotutolea na uongo anaosema juu yetu. isitoshe, yeye hukataa kuwakaribisha hao ndugu walio safarini, na hata huwazuia watu wengine wanaotaka kuwakaribisha, na hujaribu kuwafukuzia nje ya kanisa.

Hebrew

על כן בבאי אזכיר את מעשיו אשר הוא עשה בספרו עלינו דברים רעים ולא דיו שלא יקבל את האחים כי גם ימנע את החפצים לקבל ויגרשם מתוך הקהלה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,763,952,241 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK