Je was op zoek naar: kuangalia mbele kwa mkutano katika mtu (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

kuangalia mbele kwa mkutano katika mtu

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

uteuzi na mafanikio ya michel yatakuwa tu kwa muda mfupi, hivyo basi yatupasa kuangalia mbele.

Engels

henri michel’s appointment and success if any will only be short-term, the long walk awaits us.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

khan, aliyekuwa katika mkutano katika jiji la lahore, alikimbizwa haraka kwenye hospitali ya kumbukumbu ya shaukat khanum.

Engels

khan, who was at a rally in the city of lahore, was immediately rushed to the shaukat khanum memorial hospital.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

chishala aliandika kile alichofikiri ni suluhisho la kwenda mbele kwa taifa la zambia:

Engels

chishala then posed some ways forward for zambia:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini ratiba ya uchaguzi huo imesogezwa mbele kwa juma moja zaidi kwa sababu ya matatizo ya kiuratibu.

Engels

but all scheduled elections have been pushed back for a week because of organizational problems.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

si tu kuwa maite oronoz atakuwa jaji bora lakini uteuzi wake kuwa jaji wa mahakama kuu ni hatua moja mbele kwa haki za kiraia

Engels

not only will maite oronoz make a superb judge but her appointment to pr's supreme court is an important step forward for civil rights. — rep. nydia velazquez (@nydiavelazquez) june 16, 2014

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

pilato akawaambia makuhani wakuu na umati wa watu, "sioni kosa lolote katika mtu huyu."

Engels

then said pilate to the chief priests and to the people, i find no fault in this man.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

sauti hizi zinatuambia juu ya kusogea mbele kwa matumaini na mabadiliko, fikra za waandishi zinafunua njia iliyowezeshwa na jitihada na ushirikiano.

Engels

these voices tell us about moving forward in hope and change, their accounts reveal a path infused with struggle and collaboration.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

furaha ilikuwa kubwa huko tucumán, jiji lilikuwa msitari wa mbele kwa uhuru wa ajentina na lilikuwa shahidi wa matukio ya mwaka 1816.

Engels

the delight was especially palpable in tucumán, a city that played a leading role in the argentinian independence and was an important witness to the events of 1816.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

waliotoa maoni yao pindi tu matokeo yalipotangwa, wakiambizana namna wanavyojisikia huzuni na fadhaa, lakini vilevile wakitazama mbele kwa jicho la kujikosoa.

Engels

they quickly reacted to the results, sharing their sadness and disappointment, but also looking forward with self-criticism.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

suala la usalama siyo peke yake ambalo wanablogu wa iran hujadili, kuna wanaoona kwamba kufanyika hapa kwa mkutano wa nam kunatoa fursa kwa watu kuandamana ili kupingia serikali iliyo madarakani.

Engels

security is not the only topic iranian bloggers talk about, some see the nam summit as an opportunity to protest against the regime.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kama chama kilicho madarakani, pdp kinadhaniwa kuwa ni chama kinachoweza kusaidiwa zaidi na serikali kuliko apc, hali inayochangia kupelekwa mbele kwa muda wa uchaguzi kwa manufaa ya chama tawala.

Engels

as incumbent party, pdp is furthermore believed to benefit from more resources than apc, making an extended campaign phase seem preferable.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

tutakuwa tukituma mwaliko kwa kalenda yako kwa alhamisi ijayo, 14:00 utc/07:00 pt kwa mkutano maalum wa wafanyakazi.

Engels

we’ll be sending an invitation to your calendars for next thursday, 14:00 utc/07:00 pt for a special staff meeting.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

habari mpya 04/03: tume ya taifa ya uchaguzi ilitangaza kwamba chaguzi zote zimesogezwa mbele kwa juma moja, kwa sababu ya kuchelewa kufika kwa vifaa vya kupigia kura.

Engels

update 04/03: the nation's election commission just announced that all elections would be pushed back a week, due the late arrival of voting materials.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

basi, tusonge mbele kwa yale yaliyokomaa na kuyaacha nyuma yale mafundisho ya mwanzo ya kikristo. hatuhitaji kuweka msingi tena kwa kurudia yale mafundisho ya mwanzo kama vile kuachana na matendo ya kifo, kumwamini mungu;

Engels

therefore leaving the principles of the doctrine of christ, let us go on unto perfection; not laying again the foundation of repentance from dead works, and of faith toward god,

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kelele ziliongezeka na baadhi ya walimu wa sheria wa kikundi cha mafarisayo walisimama na kutoa malalamiko yao kwa nguvu: "hatuoni chochote kilicho kiovu katika mtu huyu; huenda ikawa kwamba roho au malaika ameongea naye."

Engels

and there arose a great cry: and the scribes that were of the pharisees' part arose, and strove, saying, we find no evil in this man: but if a spirit or an angel hath spoken to him, let us not fight against god.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

kwa upande mwingine, kila mmoja ikiwa na pendekezo lake ni zambia na tanzania, ambazo zinataka kuruhusiwa kuuza hifadhi ya pembe za ndovu zilizonazo kwa mkutano ujao wa doha machi 13-25 –mkutano wa 15 wa cites.

Engels

on the other hand, each with it’s own proposal is zambia and tanzania, who want to be allowed to sell their ivory stockpiles come the march 13-25 doha meeting – the 15th cites conference of parties (cop15).

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

"waziri wa utamaduni, rosa cruz e silva, alisema kuwa sheria inayohusiana na uhuru wa mkutano wa dini lazima iundwe upya "kama njia ya kupambana kwa 'nguvu' kuanzishwa kwa mkutano mpya za kidini ambazo mikutano yao ya dini ni kinyume na tabia zetu na forodha katika utamaduni wa angola. "

Engels

the minister of culture, rosa cruz e silva, said that a law related to liberty of religious assembly should be revised "as a way of fighting 'vigorously' the coming up of new religious congregation whose religious assembly are contrary to our habits and customs to angolan culture." the destruction (...) must be immediately stopped and we demand an apology from the president of angola to muslims around the world. if not, then we would like to invite the islam community to protest peacefully in front of the buildings of angolan embassies around the world.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.

Krijg een betere vertaling met
7,759,359,443 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK