Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lo! these, forsooth, are saying:
hakika hawa wanasema:
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
as to these (quraish), they say forsooth:
hakika hawa wanasema:
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
taste; you forsooth are the mighty, the honorable:
onja! ati wewe ndiye mwenye nguvu, mtukufu!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
forsooth you are the forbearing, the right-directing one.
ama hakika wewe ni mstahamilivu kweli na mwongofu!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
lo! ye, forsooth, are of various opinion (concerning the truth).
hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and man saith: when i am dead, shall i forsooth be brought forth alive?
na mwanaadamu husema: hivyo, nitakapo kufa, ni kweli nitafufuliwa niwe hai tena?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
forsooth, each one of them wants to be given scrolls (of revelation) spread out!
ati kila mmoja katika wao anataka apewe nyaraka zilizo funuliwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and they say: when we are bones and fragments, shall we forsooth, be raised up as a new creation?
na walisema: je! tutapo kuwa mifupa na mapande yaliyo vurugika, tutafufuliwa kwa umbo jipya?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and they used to say: when we are dead and have become dust and bones, shall we then, forsooth, be raised again,
na walikuwa wakisema: tutakapo kufa na tukawa udongo na mafupa, ati ndio tutafufuliwa?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and the answer of his people was only that they said (one to another): turn them out of your township. they are folk, forsooth, who keep pure.
na haikuwa jawabu ya kaumu yake isipo kuwa kuambizana: wafukuzeni katika mji wenu, maana hao ni watu wanao jitakasa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they say: when we are dead and have become (mere) dust and bones, shall we then, forsooth, be raised again?
walisema: je! tukisha kufa tukawa udongo na mifupa ndio tutafufuliwa?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and if thou wonderest, then wondrous is their saying: when we are dust, are we then forsooth (to be raised) in a new creation?
na kama ukistaajabu, basi cha ajabu zaidi ni huo usemi wao: ati tukisha kuwa mchanga kweli tutakuwa katika umbo jipya? hao ndio walio mkufuru mola wao mlezi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but the answer of his folk was naught save that they said: expel the household of lot from your township, for they (forsooth) are folk who would keep clean!
basi haikuwa jawabu ya watu wake ila ni kusema: wafukuzeni wafwasi wa lut'i katika mji wenu. hao ni watu wanao jitia usafi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they said: shu'aib, commandeth thee thy prayer that we should abandon that which our fathers have worshipped, or that we should not do with our riches whatsoever we will! thou, indeed! thou forsooth art forbearing, right-minded!
ni sala zako ndizo zinazo kuamrisha tuyaache waliyo kuwa wakiyaabudu baba zetu, au tuache kufanya tupendavyo katika mali zetu? ama hakika wewe ni mstahamilivu kweli na mwongofu!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: